UTANGULIZI
Bismillahi
Rahmani Rahim. kila namna ya sifa njema ina mstahiki Allah. Na rehma na
amani za Allah zimshukie Mtume Muhammad(s.a.w) na ziwashukie maswahaba
wake na wote wenye kumfuata.
Kisha
baada ya hayo yaliyotangulia. Elewa ewe Muislam kwamba hapana haja
kubwa kwako ya kujifunza historia za wanafalsafa wakizungu na
wanataaluma wakiyahudi. hilo ni kwa sababu ya kwamba wewe muislamu unayo
historia nzuri sana ya kujifunza yenye mafunzo mengi sana kama vile
adabu, ujirani mwema, Uvumilivu katika maisha , Kupendana , Kuhurumiana ,
Hekma , utu na haki za kibinadamu. yote hayo na mengine mengi
hutoyapata kwa ukamilifu ila katika historia ya Mtume wetu
Muhammad(s.a.w) ambaye ni mtukufu mno wa darja.
TWAMUOMBA ALLAH ATUPE ELIM NA ATURUZUKU KUITUMIA KATIKA MATENDO YETU.
wasaka PEPO islamic association
{BUNJU, A KINONDONI DSM}
(2019)
No comments:
Post a Comment