RATIBA YA KUJIFUNZA DINI KATIKA TAASISI YA WASAKA PEPO
Taasisi ya wasaka Pepo imewa andalia wanachama wake na waislamu wote ratiba ifatayo ya Masomo.
Baada ya swala ya Alfajir
👉 tutajifunza Qur-an tukufu.
Baada ya Swala ya Adhuhuri
👉 Kitasomeshwa kitabu cha (mabaadi-ul-fiqhiyyah)
👉 Hicho ni kitabu cha fiqhi/ Sharia.
Baada ya swala ya Alasiri
👉 Kitasomeshwa kitabu cha Al-ahaadiithul Mukhtaara.
👉 Ni kitabu cha hadithi za Mtume(s.a.w)
Baada ya swala ya Magharibi
👉 Kitasomeshwa kitabu cha (khulaaswatu nuuril yaqini)
👉 Hicho ni kitabu cha historia ya mtukufu wa Darja Mtume Muhammad(s.a.w)
Baada ya swala ya Ishaa-i
👉 kitafundishwa kitabu cha mawaaidhun baliighatun
👉 Hicho ni kitabu cha tazkia na uchamungu.
N:B
👉 Ratiba hiyo yaweza kubadilika kutokana na haja.
👉 Mahala pakujifunzia ni katika grupu ya taasisi iliyopo watsap
In sha Allah.
Twamuomba Allah atubaarik na atusahilishie katika masomo yetu
IMEANDALIWA NA AMIRI WA TAASISI YA WASAKA PEPO.
MUBACK HASSAN CHIZENGA
wasakapepo (2019)
Friday, May 3, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment