Hivi sasa tujifunze hukmu ya kufunga Mwezi mtukufu wa Ramadhan.
✍�� NI JAMBO LA WAJIBU YANI NI LAZIMA KWA KILA MUISLAMU MWENYE AKILI N
ALIYEBALEGHE KUFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.
�� Akifunga muislam atapata thawabu
�� Akiacha kufunga bila udhuru wa kisheria ambao tutauona atapata dhambi.
kwa sasa tuweke nukta hapo hadi baada ya Isha Allah akijaalia in sha Allah tuta tizama
kipengele cha nne ambacho kinaelezea umuhimu na ubora wa kufunga Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani pia tutaelezea faida zake.
Allahu Aalamu
.
Amir wa taasisi ya Wasaka Pepo.
MUBARACK CHIZENGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment