TWAHARA
ni jambo lolote ambalo ukilifanya litaleta uhalali wa wewe kufanya ibada
ZANA ZA KUJITWAHARISHA
- Maji
- Mchanga
- Kitu chochote chenye kuambua
- Mawe
MATENDO YA KUJITWAHARISHA
- Kushika udhu
- Kuoga jasho
- Kutaya mmamu
- Kuondosha najisi
KATIKA SHERIA KUNA MAELEZO YA MUHIMU KUHUSU MAJI
- Maji machache
- Maji mengi
MAJI MACHACHE
Ni yale maji ambayo ujazo wake ni chini ya Lita 500 au chini ya ujazo wa pipa moja
kwa mfano:- Maji ya kwenye ndoo
MAJI MENGI
Ni yale maji ambayo ujazo wake ni kwanzia Lita 500 na kuendelea au ujazo wa pipa na kuendelea
kwa mfano:-
- Maji ya pipa
- Maji ya baharini
- Maji ya mtoni
SIFA ZA MAJI YANAYOFAA KUJITWAHARISHA
- Maji ya mvua,mto,ziwa,bahari,theluji au chemchem
- Yasiwe yamebadilika rangi,harufu au ladha
- Yasiwe yameshatumika kabla kujitwaharishia au kuondosha najisi
- Yasiwe yameingiwa na najisi yoyote ile
Maa sha Allah kwa kweli tunafaidika.
ReplyDelete